Michuano ya foosball yatembea kwa kasi Dar

Michuano ya foosball yatembea kwa kasi Dar

nadinemumu

Member
Joined
Jun 25, 2009
Posts
13
Reaction score
0
Tangu mwezi uliyopita kumekuwa na michuano ya #foosball ambayo zimekuwa zikichezwa kwenye baa mbali mbali. WaTanzania wenzangu sijui mnaifikiriaje mchezo huu ambayo imeletwa kwenu na bia ya Heineken.
 
Back
Top Bottom