Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Sijaiona hoja.Nimeona vichekesho tu.Yanga wenye akili na wewe ulihesabiwa kwani?Katika hoja zote umetoka na hoja ya kiswahili tu basi, jibu hoja usifanye mangungu aonekane alikuwa sahihi kukataa kujiuzulu maana wanachama wake na mashabiki anaowangoza wengi wao akili ni Kama zako, hoja ujibiwa kwa hoja na sio mipasho ya waimba taarabu!