Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

Sijaiona hoja.Nimeona vichekesho tu.Yanga wenye akili na wewe ulihesabiwa kwani?
 
Nikukumbushe wee uto kipindi yanga wanachukuwa ubigwa mara 3 mfurulizo Simba walienda Azam wakachukuwa wachezaji 4 kina manula wakaenda mtibwa wakachukuwa 3 kina kichuya
Na wakachukuwa ubingwa na kimataifa walifanya vizury mpaka sasaivi Tz tupeleka tim 4 kimataifa
 
Mkiambiwa utopoloni wenye akili ni wawili tu muwe mnakubali. Ulichokiandika na ulichokichambua ni pumba tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…