Michuano ya mapinduzi imeipa faida nyingi Simba SC

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Tuachane na hoja za hao wengine wanaodai michuano haikuwa na faida kwao baada ya kutolewa.

Hii michuano imekua muhimu sana Kwa Simba SC Kwa sababu imempa kocha Benchika.

Nafasi ya kuwajua vyema wachezaji wote waliopo kikosini Simba SC.

Ikumbukwe Benchika Hana muda mrefu tangu ajiunge na Simba SC akitokea USM algers.

Kingine michuano hii imewasaidia baadhi ya wachezaji wa Simba SC kupandisha viwango vyao hasa wale waliokua wanaonekana kupotea, Leo nikimuangalia Luis Miquissone sio yule aliekua anaonekana miezi miwili nyuma.

Nawapa pongezi upande wa pili fc Kwa kutimiza azma yao ya kuondoshwa katika michuano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…