wachambuzi uchwara hao hata kuutuliza mpira hawaweziSasa wale wachambuzi wa footbal la nje watachambua nini?Kama nawaona Kina EDO KUMWEMBE NA GEORGE AMBAGILE WANAVYOSIKITIKA.
Tutajie wachambuzi ambao si wachwara?
Ni livapool BT kwa kanuni zao ikiwa ligi itasimama for 8 week without kurud bas itafutwa mwez wa 8 wanaanza season bila community shieldDua la kuku halimpati mwewe,timu ipi unadhani inastahili kuchukua UbInGwA wa Epl msimu huu,ukiondoa Liverpool?
Sent using Jamii Forums mobile h app
George Ambangile yaani akiwa anauza chai unatamani angekuwa kocha.Kumbe hana lolote. Wachambuzi maneno mengi ila ukiwapa team wacoach hakuna lolote achilia mbali kucheza mpira. Unakuta wanamchambua Chama mpaka basi.
Ugumu wa maisha tu unawafanya kuwa hizo ila ni zero brainGeorge Ambangile yaani akiwa anauza chai unatamani angekuwa kocha.Kumbe hana lolote. Wachambuzi maneno mengi ila ukiwapa team wacoach hakuna lolote achilia mbali kucheza mpira. Unakuta wanamchambua Chama mpaka basi.