Michuano ya soka England yasitishwa hadi Aprili 3 kutoka na Corona

Michuano ya soka England yasitishwa hadi Aprili 3 kutoka na Corona

Dua la kuku halimpati mwewe,timu ipi unadhani inastahili kuchukua UbInGwA wa Epl msimu huu,ukiondoa Liverpool?

Sent using Jamii Forums mobile h app
Ni livapool BT kwa kanuni zao ikiwa ligi itasimama for 8 week without kurud bas itafutwa mwez wa 8 wanaanza season bila community shield
Hata kama angeshtañgazwaa bngwa bila kunaliza mech38 hapewi ndooo
 
raha ya ubingwa bhana kunyanyua ndoo
hapa nawaza tu maskini ya mungu robertson mimbio yote ile na mikrosi yote ile kumpa mane ashinde😁😁 angejua mwisho wake ndo huu angesingizia tu anaumwa alale, man u tulishanusa hii hali ndo maana hata pogba akachukua likizo isiyojulikana huku tukicheza mechi zetukistaa😄😄😄
 
wachambuzi uchwara hao hata kuutuliza mpira hawawezi

Sent using Jamii Forums mobile app
George Ambangile yaani akiwa anauza chai unatamani angekuwa kocha.Kumbe hana lolote. Wachambuzi maneno mengi ila ukiwapa team wacoach hakuna lolote achilia mbali kucheza mpira. Unakuta wanamchambua Chama mpaka basi.
 
Ugumu wa maisha tu unawafanya kuwa hizo ila ni zero brain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom