Habari wana JF.
Kwa ambaye amewahi pata mkopo kwenye hizi microfinance na akaridhika na huduma kwa maana ya huduma inayoendana na mkataba na isiyo na janjajanja naomba anijuze nipo Dar.
Hapa nazungumzia mkopo kwa dhamana ya kadi ya gari.
N.B Kwa sasa siwezi pata mkopo benki kwa maana ya kutokidhi vigezo na masharti kwa 100% ndiyo maana nahitaji wa microfinance.