The lastborn9319
JF-Expert Member
- Oct 30, 2021
- 852
- 1,745
Waliiba simu wakaacha laini na namba yao! Wezi wa siku hizi wanajali
AloooNasikia wanaroga sana ili usilipe huenda ndo maana uliibiwa pesa uliyotaka kulipa
Mheashimu MTU wahivyoMna moyo sana wakopaji wa kwenye hivyo vitaasisi vidogo vya kifedha. Hapa nilipo kuna watu mpaka nawashangaa! Yaani kila siku wanatakiwa kupeleka marejesho ya mkopo!
Aisee ningekuwa mimi nisingeweza.