Microfinance matapeli

Microfinance matapeli

Mna moyo sana wakopaji wa kwenye hivyo vitaasisi vidogo vya kifedha. Hapa nilipo kuna watu mpaka nawashangaa! Yaani kila siku wanatakiwa kupeleka marejesho ya mkopo!

Aisee ningekuwa mimi nisingeweza.
 
Mna moyo sana wakopaji wa kwenye hivyo vitaasisi vidogo vya kifedha. Hapa nilipo kuna watu mpaka nawashangaa! Yaani kila siku wanatakiwa kupeleka marejesho ya mkopo!

Aisee ningekuwa mimi nisingeweza.
Mheashimu MTU wahivyo
 
Sasa hapo ww umeenda kujiangamiza kabisa.yan laki 2 unaenda kuwaachia 70.000 na bado wanauza na vitu vyako ?? Kwani huna mkataba mliosndikishiana ???? Wafuate uwadai na ikishindikana piga kibititi hiyo ofisi yao.wajinga sana matapeli wakubwa
 
Back
Top Bottom