Microfinance msaada wandugu

Microfinance msaada wandugu

dolevaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
12,958
Reaction score
9,516
Heshima kwenu wakuu,

Kuna ndugu yangu anataka kuanzisha Biashara ya kukopesha PESA kwa Riba anataka iwe OFFICIAL so anataka kujua namna yakuisajili kampuni yake. Pia kupata LESENI utaratibu ukoje? yaani vitu gani vinatakiwa.

Wakuu kwa yeyote mwenye ufahamu wa jambo hili Msaada plz!
 
dolevaby,

Habari mkuu.kusajili kampuni ya kukopesha.nenda brela kasajili kampuni then TIN na lesseni ya biashara manispaa. Mambo mengine kama kudesign product na guidelines,fomu etc,na utaratibu mzima wa uendeshaji ETC ni PM. Andaa consultant fee nina uzoefu wa kutosha kwenye microfinance.
 
Back
Top Bottom