Microsoft office ipi ni bora zaidi?

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Wakuu salama?

Naomba kujuzwa ni Microsoft office ipi ni bora zaidi?
Ikiwezekana nisaidie na link ya kuipata.

Shukrani
 
Office 365 ndio nzuri zaidi ila unalipia kila mwezi.
 
Ya kulipia sitaiweza mkuu.
Naomba unielekeze isiyo ya kulipia.
Ndo office za kawaida 2007, 2010, 2013, 2016, 2019 na 2022. Inategemea na matumizi ila yoyote hapo inaweza fanya kazi zako.


Itabidi uwe na torrent client
 
Kaka Chief-Mkwawa nimeingia hapa nikapakua ila baada ya kuinstall inaniambia siwezi kutumia na inataka nikaupdate to 365 ambayo ni ya kulipia .. Ni macbook pro 2019
 

Attachments

  • IMG_20220914_211003.jpg
    326.5 KB · Views: 19
The best way is not to use ms apps kabisa kwakua program zao zote kisheria lazima ulipie,naukikamatwa unaweza hata fungwa ..mimi nakushauri anza kutumia opensource weka Ubuntu kwenye pc yako. .Excel,word,ppt and anything unazotumia kwenye windows ni free na ukizoea hii program ms window hutaipenda because Linux is so flexible and can be used by any user .
 
Let me test in my pc
 
Hata hayo makampuni wanapenda watu wawe wanatumia bidhaa zao kimagumashi.

Utafiti walioufanya, watumiaji wengi wanaotumia bidhaa zao kimagumashi huwa wanakuja kununua baadae. Pirated products mara nyingi ni kama unajifunza, ukishakuwa pro, unakuwa ushapata hela ,a kulipia.

Kuanzia AutoCad, Adobe products n.k.
 
Na Microsoft hajali kabisa, mfano uki pirate windows anakuondolea tu uwezo wa kubadili walpaper.
 
Na Microsoft hajali kabisa, mfano uki pirate windows anakuondolea tu uwezo wa kubadili walpaper.
Kuna sehemu nilisoma kuhusu story ya adobe.

Wateja wao wengi wanakuja baada ya kutumia kwanza pirated adobe products.

With time wanakuwa experts na wanapata hela kupitia hizo prodicts, badae wanaanza nunua genuine.

Nikaona ina make sense.

Microsoft wangeamua kukaza na Ms Office, kwanza isinge pupolar kama ilivyo sasa. Na zingetengenezwa softwares mbadala. Wateja walionao wanatosha, wengine watumie pirates.
 
Ndio maana pia wanakuwa na products mbili standalone app na za online, kwa office ni 365 hii inaingiza hela balaa, kwa mwaka inafika hadi 20B usd. Na wateja wanatoka huku huku kwenye office za kawaida.
 
Sio kila mtu inamfaa mkuu....
Software nyingi zinafanya kazi kwenye windows....
 
Kweli mkuu....
Pirated products ni tunavyoanza.
Kuna vitu vingi Unavikosa, mfano hata Ukiomba msaada kwenye forums zao, wakikuambia tuma file lako tukusaidie, unapotea sababu Unajua ukiwatumia tu watajua kuwa wewe ni Mwizi.
 
Wakuu ivi kuipata AutoCAD 2021 na 2022 pc inahitaji qualifications zipi?
 
Matumia Libreoffice zaidi ya miezi 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…