Microsoft office ipi ni bora zaidi?

Microsoft office ipi ni bora zaidi?

Wakuu salama?

Naomba kujuzwa ni Microsoft office ipi ni bora zaidi?
Ikiwezekana nisaidie na link ya kuipata.

Shukrani
Tumia 2007 hii hutasumbuliwa na microsoft uta fanya kila kitu for free
 
Tumia 2007 hii hutasumbuliwa na microsoft uta fanya kila kitu for free
hio ya zamani sana, mtu akitengeneza kazi yake kwa microsoft 2010, 2013, n.k, huwa inakuwa formattd tofauti kwenye microsoft 2007
 
Back
Top Bottom