Holly Star JF-Expert Member Joined Aug 25, 2018 Posts 4,327 Reaction score 8,142 Nov 13, 2022 #21 Orketeemi said: Wakuu salama? Naomba kujuzwa ni Microsoft office ipi ni bora zaidi? Ikiwezekana nisaidie na link ya kuipata. Shukrani Click to expand... Tumia 2007 hii hutasumbuliwa na microsoft uta fanya kila kitu for free
Orketeemi said: Wakuu salama? Naomba kujuzwa ni Microsoft office ipi ni bora zaidi? Ikiwezekana nisaidie na link ya kuipata. Shukrani Click to expand... Tumia 2007 hii hutasumbuliwa na microsoft uta fanya kila kitu for free
NetMaster JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 1,454 Reaction score 4,925 Nov 13, 2022 #22 Holly Star said: Tumia 2007 hii hutasumbuliwa na microsoft uta fanya kila kitu for free Click to expand... hio ya zamani sana, mtu akitengeneza kazi yake kwa microsoft 2010, 2013, n.k, huwa inakuwa formattd tofauti kwenye microsoft 2007
Holly Star said: Tumia 2007 hii hutasumbuliwa na microsoft uta fanya kila kitu for free Click to expand... hio ya zamani sana, mtu akitengeneza kazi yake kwa microsoft 2010, 2013, n.k, huwa inakuwa formattd tofauti kwenye microsoft 2007