Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Nimeelewa mkuu, shukraniAmazon prime ni membership ya Amazon, ukiwa nayo unapata vitu kama
1. Amazon prime video, hii ni kama Netflix kuna movies, Series unaangalia
2. Amazon Prime Gaming, hapa kila wiki kunapostiwa Games za kulipia bure na unapewa in App purchase bure kama Za fifa Ultimate Team
3. Kunakuwa na unafuu wa Shipping ukinunua Vitu Amazon etc.
Ebay huwa mara nyingi unapata hizi Email/prime membership. Ukikosa Google "MPGH elite trading" utapata wauzaji wa kutosha kule.