Microsoft yamfuta kazi mfanyakazi aliyekatisha hotuba ya CEO Satya Nadella ili kuitetea Palestina

Microsoft yamfuta kazi mfanyakazi aliyekatisha hotuba ya CEO Satya Nadella ili kuitetea Palestina

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Microsoft imemfuta kazi mhandisi Joe Lopez baada ya kuvamia hotuba ya Mkurugenzi Mtendaji Satya Nadella katika mkutano wa Build mjini Seattle, akipinga ushirikiano wa kampuni na jeshi la Israel kwenye vita vya Gaza.

Lopez alilalamikia matumizi ya huduma ya Azure na baadaye kutuma barua kwa wafanyakazi wenzake. Tukio hilo lilifuatiwa na maandamano mengine yaliyovuruga baadhi ya hotuba.

Microsoft imethibitisha kutoa huduma za AI kwa jeshi la Israel, lakini inadai hakuna ushahidi kuwa teknolojia hizo zilitumika kuwadhuru raia Gaza.

 
Microsoft imemfukuza kazi mfanyakazi ambaye alipiga kelele kupinga wakati wa hotuba ya Mkurugenzi Mtendaji juu ya teknolojia ya AI iliyotolewa kwa jeshi la Israeli. Nani anafadhili wahuni hawa?
Ndio nasema kwako na kwa kondooo wengine waliopotea kuwa Dunia kwasasa imejua ukweli ni upi na uwongo ni upi Gaidi ni yupi !!!!

sasa wafanyakazi Wamechoka kufanya propaganda na kusema uwongo sio mfanyakazi wa kwanza kubwatuka au kuandika kwenye Account zao kupinga vile wanatakiwa kuficha ukweli wa mambo kuusu Palestina na Israel !!!!

kizazi chasasa kimechoka kutumiwa ktk uwovu wa Shetani !!!!

kwasasa imekuwa ndio Ushujaaa wa Wafanyakazi kwenye MEDIA za Wazungu kuacha kazi ikibidi lkn kusimama ktk kweli shetan ajawai mshinda Mungu!!
 
Mtu analazimishwa aseme uwongo adi yupo tayali kuacha kazi lkn awe Freee kwenye maisha yake kutwa unatakiwa kuongopa tu kisa pesa za Boss!!!!
 
Ndio nasema kwako na kwa kondooo wengine waliopotea kuwa Dunia kwasasa imejua ukweli ni upi na uwongo ni upi Gaidi ni yupi !!!!

sasa wafanyakazi Wamechoka kufanya propaganda na kusema uwongo sio mfanyakazi wa kwanza kubwatuka au kuandika kwenye Account zao kupinga vile wanatakiwa kuficha ukweli wa mambo kuusu Palestina na Israel !!!!

kizazi chasasa kimechoka kutumiwa ktk uwovu wa Shetani !!!!

kwasasa imekuwa ndio Ushujaaa wa Wafanyakazi kwenye MEDIA za Wazungu kuacha kazi ikibidi lkn kusimama ktk kweli shetan ajawai mshinda Mungu!!
Ni ujinga ndiyo unawasumbua Wafuga Midevu na Majini huwezi kumpangia Boss wako nani amuuzie bidhaa anayotengeneza yeye kumbuka hata mvumbuzi wa hiyo AI ni Myahudi sasa huyo Mfanyakazi atakuwa anatwanga maji kwenye kinu.
 
Back
Top Bottom