Mida gani ya Mishikaki ya Salma Cone?

Mida gani ya Mishikaki ya Salma Cone?

Bwiru press kwangu mkuu
Bwiru Press njia ya kwenda A.I.C??
Kwa komba unapapata??
Kiwanja changu sana hicho.

Mitaa yangu ninayopatikana ni nyuma ya maliasili hapa, kabla hujafika kanisa la Winners.
 
Hapa Salama Cone.. ice cream na cone bado zipo au ni mishikaki tu
 
[emoji41]naona ma ngosha wana jadiri ka sehem kamoja tu walko wai kupita

kukariri uku
 
Salaam wadau. Nipo Rock City now. Nataka nipige mishikaki ya pale salma cone. Last time nilikuja mwanza 2016 na kupata fursa ya kutembelea pale Salma Cone na kula mishikaki mixer kachumbari na ukwaju ulio kwenda shule ambavyo huwezi kuvipata popote pale duniani isipokuwa hapo Salma Cone. Wadau wa mishikaki ya SALA CONE MZA ni mida gani mishikaki hiyo inakuwa tayari ? With much thanx in advance.
Lipia tangazo
 
Asante mama na like nimekupa. Anadhani Mwanza tunakula maajabu kama wanayolishwa wao huko walipo.
Paka wangu unataka kuniambia pale kwa salma kuna mishkaki mitamu popote duniani hakuna?nagata ukakasi maana hiyo sehemu naijua sana,naishiaga kuboreka sipatagi taste nayoitafuta,ukiniambia jembe ni jembe ile kitu yao jembe fish ina test fulani huwezi kuipata popote ila si mishkaki ya kwa salma bana,
 
Nyie jidaidini na salmacone wenu nasisi wa dar twajidai na mishikaki ya coco na mihogo
 
Paka wangu unataka kuniambia pale kwa salma kuna mishkaki mitamu popote duniani hakuna?nagata ukakasi maana hiyo sehemu naijua sana,naishiaga kuboreka sipatagi taste nayoitafuta,ukiniambia jembe ni jembe ile kitu yao jembe fish ina test fulani huwezi kuipata popote ila si mishkaki ya kwa salma bana,
Kipenzi naomba nikuchomee mishkaki siku moja. Nakuhakikishia kuwa hutajutia kuitikia wito huu..
 
Back
Top Bottom