Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Na wewe unaishi mitaa hiyo???Kumbe wewe ni jirani yangu mkuu?
Bwiru press kwangu mkuuNa wewe unaishi mitaa hiyo???
Asante mama na like nimekupa. Anadhani Mwanza tunakula maajabu kama wanayolishwa wao huko walipo.Mwanza hakunaga huo "ushuzi"
Bwiru Press njia ya kwenda A.I.C??Bwiru press kwangu mkuu
Lipia tangazoSalaam wadau. Nipo Rock City now. Nataka nipige mishikaki ya pale salma cone. Last time nilikuja mwanza 2016 na kupata fursa ya kutembelea pale Salma Cone na kula mishikaki mixer kachumbari na ukwaju ulio kwenda shule ambavyo huwezi kuvipata popote pale duniani isipokuwa hapo Salma Cone. Wadau wa mishikaki ya SALA CONE MZA ni mida gani mishikaki hiyo inakuwa tayari ? With much thanx in advance.
Paka wangu unataka kuniambia pale kwa salma kuna mishkaki mitamu popote duniani hakuna?nagata ukakasi maana hiyo sehemu naijua sana,naishiaga kuboreka sipatagi taste nayoitafuta,ukiniambia jembe ni jembe ile kitu yao jembe fish ina test fulani huwezi kuipata popote ila si mishkaki ya kwa salma bana,Asante mama na like nimekupa. Anadhani Mwanza tunakula maajabu kama wanayolishwa wao huko walipo.
Kipenzi naomba nikuchomee mishkaki siku moja. Nakuhakikishia kuwa hutajutia kuitikia wito huu..Paka wangu unataka kuniambia pale kwa salma kuna mishkaki mitamu popote duniani hakuna?nagata ukakasi maana hiyo sehemu naijua sana,naishiaga kuboreka sipatagi taste nayoitafuta,ukiniambia jembe ni jembe ile kitu yao jembe fish ina test fulani huwezi kuipata popote ila si mishkaki ya kwa salma bana,
Kipenzi naomba nikuchomee mishkaki siku moja. Nakuhakikishia kuwa hutajutia kuitikia wito huu..
weeeeeeeeeeeeee. nije? hebu tuwasiliane 0282540529 nije tule mishikaki hiyo
hahahahaha, hata sijaitwa shost hadi ninavyo tuma comment hii. hahahahahUsinisahau hata kwa picha