Mida ya uongo, Danganya chochote

Mida ya uongo, Danganya chochote

mtoa mada una jinsia mbili. Iliyo active zaidi ni ya KE!. Mwisho wa kudanganya
 
Nimecheza pes 19 beginner-level ,,nimefungwa magoli 20(barcelona 0- 20 real madrid)
 
Nipo hapa na wema sepenga. Nakula denda. Ila naon amber ananipigia Simu sema ile michezo yake siiwezi[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mimi Siyo mchawi tazama uvunguni kwako kuna mtu kajificha ukizarau uta[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Jana usiku nilikuwa na mke wa mjukuu wa malkia alikuja kunipa story juu ya maisha mapya kwenye kasri ya kifalme kule.....

Anyways, ni uongo....nimewadanganya
 
Tuma pesa nikupe namba ya bahati ya 3mzuka[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]!!!!!!
 
Ukiwa pale ujerumani unauona mlima kilimanjaro kwa uzuri zaidi ya ukiwa kenya.
 
Back
Top Bottom