Mida ya wanga!

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Ni mida ya hatari sana! Saa 8 za usiku unapita
Maeneo furani unakutana na genge la paka kama hao kwenye picha... Alafu kuko kimya njiani uko wewe peke yako na hao nyau, alafu kufumba na kufumbua wameyayuka unaangaza huku na kule.
Uwaoni wamepotea kimiujiza wakati huo huo unaona nywele hadi mwili nzima unasisimka.. Kama ni wewe utachukua uamuzi upi, au utafanyaje???
 
Mbona kawaida mkuu!
 
Mbona kawaida mkuu!
Kuna jamaa siku moja kipunguni ukonga jamaa ni mgogo wa kuuza nyama pale mazizini ukonga machinjioni.
Ilikuwa kawaida yake kutoka saa 8 usiku kwenda machinjioni, huwa Bodaboda inamfata kumchukua nyumbani kwake sasa siku hiyo Bodaboda ikawa aijakuja kuchukua na muda ukawa unaenda. Alichofanya yule bwana saa 9 kasoro za usiku atoke kwake na mguu alafu kutoka kwake lazima aifate reli
Akaenda mbele kuna uwanja wa mpila akakuta watu saa tisa za usiku uwanjani wanacheza mpila. Kustuka wale watu awaoni wamepotea kimiujiza jamaa alitoka nduki mita 300 alipofika barabarani kwenye stendi ya BodaBoda jamaa akazimia wakampepea wenye BodaBoda pale kuja kupata fahamu kesho yake
Alipata homa kali sana!!!
 
Hawa dawa yao bastola
 
Haaaa haaaa! Hao lazima watakua yanga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haaaa haaaa! Hao lazima watakua yanga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Subiri waje na mapovu wenyewe, mie nawaogopa kuwatania siku hizi wana
Hasira hao na mitusi juu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hawa mbona wazuri sana mpaka wanavutia?

Halafu saa 7 mchana ni muda mbaya kuliko saa 8 usiku.
 
Mida ya Wanga na mabundi
Saa hizi wakuu, kuweni makini manjiani huko mlipo mpaka saa hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…