OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mmmm acha wachangamshe harusiiii kesi nini au mupilau na beer aahhh kawaida sanaaView attachment 2900704
Jana nilibahatika kuhudhuria harusi ya kijana wa jirani yangu. Ile harusi ilihudhuriwa zaidi na watu wa mtaani maana ndio kampani.
Kitu cha kushangaza ni kukutana na midada yenye maumbo mazuri yakiwa yamejiachia na vimini. Wale madada walikuwa na vibe hatari kila nyimbo wanacheza. Nikajaribu kufuatulia kama ni watu wa pale kitaa ikaonekana sura ngeni. Kila mtu nayemuuliza anasema hawajui kwamba pale mtaani hakuna micharuko wa hivi.
Nikaona niongee na mwana kamati kama wamekodiwa au vipi. Akasema yeye pia hajui.
Nikabaki na maswali, hii midada yenye amsha amsha harusini huwa inatokea wapi?
Ulitaka uopoe mmoja ukapige?View attachment 2900704

Wanatokea Cocobeach, hao uliowaweka bila ya idhini yao mbona hawako nusu uchi kama unavyodai, naona ulitaka tu kuwadhalalisha kwa kuwa ni wanawake.View attachment 2900704
Jana nilibahatika kuhudhuria harusi ya kijana wa jirani yangu. Ile harusi ilihudhuriwa zaidi na watu wa mtaani maana ndio kampani.
Kitu cha kushangaza ni kukutana na midada yenye maumbo mazuri yakiwa yamejiachia na vimini. Wale madada walikuwa na vibe hatari kila nyimbo wanacheza. Nikajaribu kufuatulia kama ni watu wa pale kitaa ikaonekana sura ngeni. Kila mtu nayemuuliza anasema hawajui kwamba pale mtaani hakuna micharuko wa hivi.
Nikaona niongee na mwana kamati kama wamekodiwa au vipi. Akasema yeye pia hajui.
Nikabaki na maswali, hii midada yenye amsha amsha harusini huwa inatokea wapi?
Umejuaje kama sijapata idhiniWanatokea Cocobeach, hao uliowaweka bila ya idhini yao mbona hawako nusu uchi kama unavyodai, naona ulitaka tu kuwadhalalisha kwa kuwa ni wanawake.
Hii si hoja ya Post yako, nusu uchi iko wapi hapo?Umejuaje kama sijapata idhini
Hii si hoja ya Post yako, nusu uchi iko wapi hapo?
Mbona kwenye video clip umeweka hakuna maajabu yoyote...
Mpaka chini ..Mpaka chini