Midada ya kuvaa nusu uchi kwenye harusi huwa wanatokea wapi?

Hawa mpaka harusi za ukumbini usiku wa manane huwa wapo, uvaaji wao ni hatari wanaweza kubakwa. Taiti na chupi zinaonekana sijui huwa wanamtega nani kama si kuleta vurugu na fujo kwenye harusi ya mwanamke mwenzao aliyeamua kuingia kwenye ndoa.
 
Huwa wanakuwa kikazi zaidi
 
Hawa mpaka harusi za ukumbini usiku wa manane huwa wapo, uvaaji wao ni hatari wanaweza kubakwa. Taiti na chupi zinaonekana sijui huwa wanamtega nani kama si kuleta vurugu na fujo kwenye harusi ya mwanamke mwenzao aliyeamua kuingia kwenye ndoa.
Watakuwa wanadoea pombe za bure. Harusi zisizo na vileo huwezi kuwaona kabisa. Kukiwa na vileo tu lazima wajazane ukumbini na vinguo vyao vya ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…