Midada ya kuvaa nusu uchi kwenye harusi huwa wanatokea wapi?

MashAllah! πŸ₯°
 
Ukiona hivyo ujue huyo bi harusi alikuwa muuzaji hayo mashangingi ni kampani yake walikuwa wanajiuza wote (kumbuka siku hizi wanawake asilimia kubwa wanajiuza japo sio wote wanajiuza bar au kwenye club wapo ambao ni waajiriwa serikalini au kwenye mashirika lakini wanajiuza kwenye mitandao na wana magroup yao kabisa telegram na WhatsApp)
Hivyo hao uliowaona wamekuja kwa mwaliko wa bi harusi mwenyewe na walipewa card za mwaliko au pengine walitoa mchango kabisa
 
Hawa ni Wafanyabiashara wanakuwa kazini hapo.
 
Wapo kazini hapo mwisho wa sherehe anahakikisha kapata bwana akikosa anajiuliza ana kasoro gani anaenda kwa fundi kupunguza sketi iwe fupi zaidi kwaajili ya harusi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…