Middle East Conflict is Over: What next in terms of Oil prices? Malawi yatapanda maradufu

Middle East Conflict is Over: What next in terms of Oil prices? Malawi yatapanda maradufu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Time will tell! Trump amesign Iran-USA agreement. Mgogoro wa Iran na USAS umeisha au uko sehemu nzuri sana.
Milango yote imefunguliwa ya meli za mafuta kupita as used to be.

SWALI KUBWA KWETU: JE MALAWI MAFUTA YATASHUKA?

MY PREDICTION: YATAPANDA ZAIDI MAANA SISI NI MAVI, WANATUONA KAMA MAVI TAKATAKA. WE ARE LIKE SACS OF POTATOES AND CAN BE DEALT WITH THE WAY THEY LIKE!
 
Kama kushuka hawawezi kushusha kama walivyokua wana pandisha utasikia wana tangaza matangazo yakutosha mafuta yame shuka Tsh 20
 
Yalipanda kwa elfu 2 kwa mikupuo 2.

Ila yatashuka kwa mikupuo 20.

Leo hii pipa moja ni 80usd kama ilivyokuwa kabla ya vita.
 
Wako mapumziko tu hao. Middle East Crisis haiwezi kuisha kamwe kama Israel itaendelea kuwepo hilo eneo.

Na kuhusu kushuka kwa bei ya mafuta, inaweza kushushwa kidogo tu 🤏
Si unajua tena wahuni ndiyo wanamiliki wa hiyo biashara?
 
KWa huyu mama aliyechangiwa pesa za kampeni na hao wauza mafuta SAHAU kuhusu mafuta kushuka bei kama ilivyokuwa hapo awali!.
 
Back
Top Bottom