Middle East Political Unrest: Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje wanatoa tamko gani juu ya usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya Kati?

Middle East Political Unrest: Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje wanatoa tamko gani juu ya usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya Kati?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
15,892
Reaction score
16,476
IMG_20200109_155847_368.jpg

Shikamoo wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Leo swali langu ni kama ifuatavyo;

Serikali kupitia Wizara ya mambo ya nje wanatoa tamko gani kuhusiana na usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya Kati?

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO

Tamko linatakiwa kutolewa na nch husika kuwa Kuna Hali ya hatari .

kwenye mahusiano ya kimataifa ukijitamkia tu waweza leta mgogoro mkubwa Kati yako na hiyo nchi unayoiyoitamkia tamko sababu mfano utalii kwenye hiyo nchi waweza poromoka,uwekezaji ukaporomoka ,investors wakaondoka ,biashara yake ya nje ikaanguka sababu watu watakataa kuingia mikataba ya Kibiashara nao kea ku base kwenye tamko lako.

Matamko.hayatolewi kiwehu wehu tu kisa Kuna mtanzania Yuko nje ya nchi anafanya kazi za kuosha matako vizee vya kizungu au vya kiirani

YEHODAYA,
mmmmm always ukweli usipindishwe kwa kauli za kimihemko,few years hapa hapa Africa,hapo bondeni kulikuwa na xenophobic attacks na tulipoteza watanzania kadhaa,je serikali yetu ya chama dola ilitoa tamko lolote?

Watanzania unawajuaje ni kwa kujiandaa a ubalozini.Hao wa South Afrika wengi wazamiaji .Nigeria uliona ilivyo respond .Sababu kwa wenzetu akifika kwenye nchi Cha kwanza Ni kwenda kujiandaa a kwenye ubalozi

Hapo balozi anawasiliana nao moja kwa moja kukiwa na tatizo.na kuwapa solution.Sio lazima Serikali itoe tamko.Ikihakikisha waliojiandikisha Wako salama kazi yake imemaliza jao Wengine waweza kuwa wakenya wakijifanya watanzania nk
Cha kwanza sio.kutoa tamko ni.kuchukua mawasiliano.kuongea na aliyejianfiksha kujua Yuko salama au la

Kiongozi tusiongee story za kijiweni,sasa wewe ungekuwa ndio Balozi wetu pale SA ukisikia mtanzania ameuliwa pale Port Elizabeth kitu cha kwanza utaangalia kwenye log book yako kama hayumo naona hapo utakuwa umemaliza kazi yako!!,na umeongelea kuhusu Nigeria ,hii nchi ilituma ndege kuchukua raia wake na balozi wake hakuwa anaangalia log book yake ya ubalozi kabla ya kusaidia raia wake!!binadamu tumezaliwa makatili na sitashangaa ukatili huu tunaufanya hata kwa familia zetu ndio maana kwenye mada kama hii tunatoa mchango kama huu,eti maadamu hukujiandikisha hapa ubalozini basi sikutambui!!isome RSA ni nchi kubwa sasa kwa mtanzania aliyeingilia mpaka na Namibia ,itabidi asafiri 1500kms hadi PTA kwenda kujiandikisha.ni wajibu wa balozi kuwatafuta raia wake na kuwapa msaada,soma ukurasa wako wa nyuma ya hati yako ya kusafiria unasemaje tatizo la life and death linapotokea nini kifanyike ili msaada utolewe.
 
"Mimi sikumtuma mtu aende huko mashariki ya kati,halafu mbona mnapenda kuniongezea frustration kila kitu mnataka nizungumze kwanza nimetoka likizo juzi tu bado sijawa tayari kuropoka ropoka,"amesikika kiongozi mmoja nzito
 
Shikamoo wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Leo swali langu ni kama ifuatavyo;

Serikali kupitia Wizara ya mambo ya nje wanatoa tamko gani kuhusiana na usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya Kati?
Mdogo wangu Infantry Soldier tayari umeshamalizana na NSSF?
Maana leo sijaona kile kibwagizo wala ile MOTTO ya uzalendo unayoitupia katika kila thread unazoziandika.

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

Sent from my DUB-LX1 using Tapatalk
 
Shikamoo wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Leo swali langu n upi kama ifuatavyo;

Serikali kupitia Wizara ya mambo ya nje wanatoa tamko gani kuhusiana na usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya Kati?
Tamko linatakiwa kutolewa na nch husika kuwa Kuna Hali ya hatari .

kwenye mahusiano ya kimataifa ukijitamkia tu waweza leta mgogoro mkubwa Kati yako na hiyo nchi unayoiyoitamkia tamko sababu mfano utalii kwenye hiyo nchi waweza poromoka,uwekezaji ukaporomoka ,investors wakaondoka ,biashara yake ya nje ikaanguka sababu watu watakataa kuingia mikataba ya Kibiashara nao kea ku base kwenye tamko lako.

Matamko.hayatolewi kiwehu wehu tu kisa Kuna mtanzania Yuko nje ya nchi anafanya kazi za kuosha matako vizee vya kizungu au vya kiirani
 
mmmmm always ukweli usipindishwe kwa kauli za kimihemko,few years hapa hapa Africa,hapo bondeni kulikuwa na xenophobic attacks na tulipoteza watanzania kadhaa,je serikali yetu ya chama dola ilitoa tamko lolote?
Watanzania unawajuaje ni kwa kujiandaa a ubalozini.Hao wa South Afrika wengi wazamiaji .Nigeria uliona ilivyo respond .Sababu kwa wenzetu akifika kwenye nchi Cha kwanza Ni kwenda kujiandaa a kwenye ubalozi

Hapo balozi anawasiliana nao moja kwa moja kukiwa na tatizo.na kuwapa solution.Sio lazima Serikali itoe tamko.Ikihakikisha waliojiandikisha Wako salama kazi yake imemaliza jao Wengine waweza kuwa wakenya wakijifanya watanzania nk
Cha kwanza sio.kutoa tamko ni.kuchukua mawasiliano.kuongea na aliyejianfiksha kujua Yuko salama au la
 
Je Marekani atavamia Iran??

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watanzania unawajuaje so kwa kujiandaa a ubalozini.Hao wa South Afrika wengi wazamiaji .Nigeria uliona ilivyo respond .Sababu kwa wenzetu akifika kwenye nchi Cha kwanza Ni kwenda kujiandaa a kwenye ubalozi

Hapo balozi anawasiliana nao moja kwa moja kukiwa na tatizo.na kuwapa solution.Sio lazima Serikali itoe tamko.Ikihakikisha waliojiandikisha Wako salama kazi yake imemaliza jao Wengine waweza kuwa wakenya wakijifanya watanzania nk
Cha kwanza sio.kutoa tamko ni.kuchukua mawasiliano.kuongea na aliyejianfiksha kujua Yuko salama au la
Kiongozi tusiongee story za kijiweni, sasa wewe ungekuwa ndio Balozi wetu pale SA ukisikia mtanzania ameuliwa pale Port Elizabeth kitu cha kwanza utaangalia kwenye log book yako kama hayumo naona hapo utakuwa umemaliza kazi yako!!, na umeongelea kuhusu Nigeria, hii nchi ilituma ndege kuchukua raia wake na balozi wake hakuwa anaangalia log book yake ya ubalozi kabla ya kusaidia raia wake!! binadamu tumezaliwa makatili na sitashangaa ukatili huu tunaufanya hata kwa familia zetu ndio maana kwenye mada kama hii tunatoa mchango kama huu,eti maadamu hukujiandikisha hapa ubalozini basi sikutambui!! isome RSA ni nchi kubwa sasa kwa mtanzania aliyeingilia mpaka na Namibia, itabidi asafiri 1500kms hadi PTA kwenda kujiandikisha ni wajibu wa balozi kuwatafuta raia wake na kuwapa msaada, soma ukurasa wako wa nyuma ya hati yako ya kusafiria unasemaje tatizo la life and death linapotokea nini kifanyike ili msaada utolewe.
 
RSA ni nchi kubwa sasa kwa mtanzania aliyeingilia mpaka na Namibia ,itabidi asafiri 1500kms hadi PTA kwenda kujiandikisha.ni wajibu wa balozi kuwatafuta raia wake na kuwapa msaada,soma ukurasa wako wa nyuma ya hati yako ya kusafiria unasemaje tatizo la life and death linapotokea nini kifanyike ili msaada utolewe.
Kujiandikisha Sio lazima usafiri Hadi ubalozini, balozi zote Zina Email andika weka particulars zako na passport details zako sekunde tu taarifa zako zimeshaufikia ubalozi bila hata wewe kwenda.Au wewe hujui kazi ya email Ni Nini?

Wanigeria wengi hutumia njia hiyo.Na Wana mwamko hasa kwenye Hilo.
 
Back
Top Bottom