Middle East Political Unrest: Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje wanatoa tamko gani juu ya usalama wa raia wa Tanzania waishio Mashariki ya Kati?

If this statement is true, then something must be wrong somewhere
 
Anga La Mashariki ya Kati kwa Sasa si Salama sana Wasikilizie Huko huko kwanza
Yes mkuu. Lile anga si salama kabisa kaka. Tunasubiri tamko la serikali tu sasa juu ya ndugu zetu waliopo middle east
 
Kwahiyo US alivyotoa tamko juu ya raia wake waishio nje walitoa kiwehu wehu? Je hawakuangalia impact zitakazotokea kwenye hizo nchi?
Balozi za USA ziko kwa ajili ya maslahi ya wananchi wake, balozi zetu ziko kwa ajili ya uhusiano wa kiserikali tu na ndicho kisa wengi huzilalamikia kwa kutowajali.

Serikali ya Marekani ni ya wananchi na kwa ajili ya wananchi, serikali ya Tanzania ni ya CCM kwa ajili ya wanaccm hii ndiyo tofauti kubwa.
 
mmmmh. Haya mimi simo
Nchi hujengwa na wananchi bila kujali dini, vyama na makabila yao, sisi tunalazimishwa kubaguana kivyama tukiaminishwa kuwa Tanzania ina wenyewe na wenyewe ni wanaccm na ndicho kisa cha kuambiwa CCM itakomboa majimbo yote yaliyochukuliwa na wapinzani (hawa si wananchi)!
 
"Mimi sikumtuma mtu aende huko mashariki ya kati,halafu mbona mnapenda kuniongezea frustration kila kitu mnataka nizungumze kwanza nimetoka likizo juzi tu bado sijawa tayari kuropoka ropoka,"amesikika kiongozi mmoja nzito
Msumbiji watanzania walifanyiwa kitu mbaya sana lakini kauli za mkuu ziliniacha hoi. Kwa hali hiyo unataka watu bado wawe wazalendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Uingereza imeonya Raia wake wajihadhari. Ina maana itasababisha mgogoro mkubwa? Au hufuatilii vyombo vya habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cc Infantry Soldier take care mimi ni mromboo sio mnyakyusa it's better if you will mind your business dharau za kijinga sizitaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…