Middle income, siyo mbaya mukija kujifunza toka kwa nchi fukara kama Tanzania

Middle income, siyo mbaya mukija kujifunza toka kwa nchi fukara kama Tanzania

Ukitaka Watoroke JF
Waambie Wapost Stand za Miji yao
Hahaha
Uchafu kunuka
Hovyo hovyo
Kama unajua madampo Ndio mabasi yao yanapakia nakupakua abiria
Kwanza Aina ya Mabasi yao tu utacheka
Hahahaha ndio nataka nione stand yao japo ya Nairobi
 
Hao Wakenya nani alikwambia kuwa Tanzania ni fukara unadhani hii ni Kibera ya mabanda ya kuku?
 
Back
Top Bottom