Midege ya kivita ya Marekani inatisha!

Kwa hapa hawatuwezi
 

Attachments

  • 1401777281817.jpg
    33.4 KB · Views: 858
mshana jr;wachina ni washenzi hawajitangazi lakini siku wakiamua kujianika dunia itabaki na taharuki

wtz mbona tulionyesha makomando siku ya muungano name uhuru kenyata alikuwepo
 
Marekani mpaka leo wanatumia vyombo vya urusu kwaajili ya safari za anga za juu. Hata International space station ni design ya urusi na hata kusafirishia bidhaa kwenda huko wanatumia space center ya cosmodrom ya kazakstan ambayo ni ya urusi. Kinachoipunguza nguzu urusi ni mbinyo wa uchumi tu ambao marekani inausimamia lakini si kwa technologia. kingine urusi walianza kutumia internet miaka 17 kabla ya marekani. Sema marekani wanapenda kujionesha
 
The center of power both military and economy is moving east ! This is as per the natural rules of successions. Many nations and races have risen and fell passing the position of power to others and USA is no exception. In the next 50 years they will be in second or third place .
 
Sio tu hazipo Bongo,hata huko US zipo out of service....zimekuwa retired!
 

Acha kumwaga siri za nchi ili upate likes. Pumbavu
 
Nzaghamba wee!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tuwekee na za Russia na China ili tufananishe.
 
Weka na silaha za kutisha za msumbiji
 
Kwa bongo inatakiwa kizazi cha sasa chote kife, kije kizazi kipya kabisa kutuvusha mahali tulipo. Tatizo ni kuwa akili za watanzania wa sasa zimechoka na uwezo wake wa kufikiri ni mdogo. Cm za mkononi ama calculator ni vitu vyenye teknolojia ya hali ya juu na vina kila kitu, lakini watanzia tulio wengi tumeshindwa kufikia hata asilimia tatu ya matumizi yake. Hata bajeti ispotegemea wahisani uwezo wetu ni mdogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…