Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio tu hazipo Bongo,hata huko US zipo out of service....zimekuwa retired!Hiyo night hawk stealth fighter ni the beauty of engineering aisee.. hata m-shape wake hiyo airflow hapo si mchezo...
Miaka miwili mitatu baadaye inabidi nirudi darasani, sasa hivi nikasomee kuziendesha hizi mishe... Theres nothing like flying, tatizo bongo hazipo sasa tutaendesha wapi?
kuna jamaa yangu wa karibu sana ni mwanajesh amenitonya kua bongo zipo drones si chini ya 4 mitambo ya kuendeshea ishafungwa tayar wataalamu washapelekwa kusomea hzo mambo huenda mwishon mwa mwaka huu wakarud,anadokeza kuna heavy weapon za kisasa zimenunuliwa zaid toka china na rusia.,pesa inayotumika hapo hai husian na bajet ya ndan bali ni pesa zinazopatikana toka UN kwa kufanya mision za kijesh kwenye mataifa yenye vurugu,pia vingne ni nkopo.
Daah! hawa jamaa wanatisha