eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
- Thread starter
- #41
Hahahaha hoja yako nzuri kweli ila umesahau tu kwamba gharama za maisha Kenya ni ghali mara 5 kwa Tanzania, 1000 huko Kenya is almost buying nothing ila Tanzania ni pesa nyingi sana.
Aksante kwa kumpa ukweli. Aangalie bei ya unga kwa Tanzania na kunyaland.