Hahahaha hoja yako nzuri kweli ila umesahau tu kwamba gharama za maisha Kenya ni ghali mara 5 kwa Tanzania, 1000 huko Kenya is almost buying nothing ila Tanzania ni pesa nyingi sana.
Nauli tu ni mara karibu 7 ya Tanzania, umeme ni mara 2, maji mara 3, gharama za vyakula karibu mara 4 yaani maisha kwao ni ghali kuliko kawaida, hata kuagiza gari kodi ni kubwa sana halafu wanafikiri tunafanana