Mie mgeni sijui ratiba za humu wa kuu

Kwanza anza kwa kujua sheria za JF ili uepuke ban zisizo na msingi.

Pili epuka kuandika katika mahadhi ya FB (kufupisha maneno bila msingi).

Tatu kuna wadau kazi yao ni kusema wenzao wajinga usiwajali.

Nne nifuate pm.
Hapo mtoto lazima alainike
 
Huyu anaweza alihusudu jina langu akijua ndo official.

Mods hebu weka hii kitu Jukwaa la Utambulisho.
 
Duh..!! Jf naona leo imekuwa whatsapp.

anyway nipe no. Yako mara moja kuna kitu nimekiona hapo kwenye picha nataka nikuulizie
 
Mnamwonea Bure huyu...

PM anaijua? Anaweza akaenda PeMba.....

Aliemkaribisha amuokoe
 
Kwanza anza kwa kujua sheria za JF ili uepuke ban zisizo na msingi.

Pili epuka kuandika katika mahadhi ya FB (kufupisha maneno bila msingi).

Tatu kuna wadau kazi yao ni kusema wenzao wajinga usiwajali.

Nne nifuate pm.
Nimependa ya 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…