DUME SURUALI
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 782
- 1,084
Naomba uwe rafiki yangu wa karibu [emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba uwe rafiki yangu wa karibu [emoji39]
Ratiba za nini tena?Jamani Mie mgeni humu
Hapo mtoto lazima alainikeKwanza anza kwa kujua sheria za JF ili uepuke ban zisizo na msingi.
Pili epuka kuandika katika mahadhi ya FB (kufupisha maneno bila msingi).
Tatu kuna wadau kazi yao ni kusema wenzao wajinga usiwajali.
Nne nifuate pm.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umeweka kweli best?
Kweli kabisa mkuuRatiba za huku ni kwamba unapojiunga na JF kwa mara ya kwanza unatakiwa uweke picha yako hapa mkuu!......please weka picha yako hapa!
Yaani mie mwenyewe nimehemwaa mpaka basi[emoji2] [emoji2]Kheeee! Umeweka kweli?
@ behaviourist hujaacha tu tabia zako[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mhhhh!!.....you look so cute and sexy,uko beutiful sana![emoji39] .....nikuulize kitu mkuu?
Karibu jitambilishe vizuri mfano. Una miaka mingapi, single, umeolewa au single mother. Na mahali unapoishi bila ya kusahau na picha yako. karibuJamani Mie mgeni humu
Nimependa ya 4Kwanza anza kwa kujua sheria za JF ili uepuke ban zisizo na msingi.
Pili epuka kuandika katika mahadhi ya FB (kufupisha maneno bila msingi).
Tatu kuna wadau kazi yao ni kusema wenzao wajinga usiwajali.
Nne nifuate pm.
Tena mnafananaNaomba uwe rafiki yangu wa karibu [emoji39]
Tupia CV yako humu mkuu.Jamani Mie mgeni humu
Naona unakamatia fursa..njoo PM nikuelezee kinagaubaga ratiba za Humu
Bado,sina jinsi mkuu nimekabwa na hamu!@ behaviourist hujaacha tu tabia zako[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Tena mnafanana