Mie mgeni sijui ratiba za humu wa kuu

We kweli zuzu umeambiwa uweke picha umeweka kweli,mlioanza kutumia smatifoni enzi za tecno mnashida kweli,humu ni mwendo wa fekero kwenda mbele,watu wanatafutwa humu mpaka max kakaa selo sababu ya Anonymity humu shauri yako.

Cc teamfisi
 
Yaani mtu akija Pm(inbox) unaleta majina yao hapa, kuna zawadi wanapewaga, sawa mamy!!!
 
We kweli zuzu umeambiwa uweke picha umeweka kweli,mlioanza kutumia smatifoni enzi za tecno mnashida kweli,humu ni mwendo wa fekero kwenda mbele,watu wanatafutwa humu mpaka max kakaa selo sababu ya Anonymity humu shauri yako.

Cc teamfisi
Asante;lakini Mie zuzu sijui wewe utakuwa nani maana binadam bwana upenda kujifanya kila kitu amezaliwa anajua [emoji57][emoji57]

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Sitaki

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Umeanza Kubumburuka eeh, [emoji1] [emoji1] [emoji1] hapa ndio Jamii forum, ipo siku utakuwa mjanja, ushamba wa Facebook na Whasap, insta utakutoka.

Kwa ushauri wangu badili akaunti, hii tena ishakuwa haikufai. La sivyo uitumie kwa insensitive issues kinyume na hapo tutakukuta Segerea.

[HASHTAG]#Sizonje[/HASHTAG] on Work#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…