Mie mgeni sijui ratiba za humu wa kuu

Jina tu latosha kukujua ni mgeni...huku hakuna ratiba Bali kuna majukwaa tofauti tofauti kutoka na aina ya mada....Ukishakaa baada ya muda utaja kujicheka kwa hii post yako....uvumiliv ni kanuni ya kukufanya uendee ku-login...mambo ya fb hayatakiwi huku...pia hutakiwi kujifanya mjuaji sana mana kuna wajuaji kuliko ujuavyo.....Huku kuna ustaarabu so mambo ya umbea,kupost pumba,copy n paste bila ushahid utajuta
 
Hahaaaaaaaaaa ulansekeshe chane wa kihungu kwekwekweeeeeeeee umutanyi wanje
 
Asante mkuu
 
Mmmh huyu mgeni gn anajua hadi ku-quote!!
Upo mkoa gn mgeni wewe?
 
Duuh!!! Kweli huyu mgeni!!! Yani ww hapa umewarihisishia kazi polisi!!! Wakitaka kukutafuta wanakudaka kama kuku!!! NB;my real name is Uledi
Nimecheka kwa sauti hadi mtoto ka amka
 
Agnes weka picha yako,namba za simu na eneo unaishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…