venossah
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 2,583
- 3,684
Mungu anakuona mkuu.Ratiba za huku ni kwamba unapojiunga na JF kwa mara ya kwanza unatakiwa uweke picha yako hapa mkuu!......please weka picha yako hapa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu anakuona mkuu.Ratiba za huku ni kwamba unapojiunga na JF kwa mara ya kwanza unatakiwa uweke picha yako hapa mkuu!......please weka picha yako hapa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu tupia namba yako ya simu fasta.
Wewe acha kuharibia watu hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona fisi mnavyovizia mzoga
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu anakuona mkuu.
Hahaaaaaaaaaa ulansekeshe chane wa kihungu kwekwekweeeeeeeee umutanyi wanjeyou know,i can take you to uraya,i mean it kwerikweri!
i happende to love you,my love is a catalyst which quickly can speed up our "katerero" and "river ngono" reaction!
bojo,nikwenda,nikutwale omwange,nikutele kamo!
nikwenda,nikugambile nikusw**e!
bojo,nakupenda kwerikweri!
Asante mkuuJina tu latosha kukujua ni mgeni...huku hakuna ratiba Bali kuna majukwaa tofauti tofauti kutoka na aina ya mada....Ukishakaa baada ya muda utaja kujicheka kwa hii post yako....uvumiliv ni kanuni ya kukufanya uendee ku-login...mambo ya fb hayatakiwi huku...pia hutakiwi kujifanya mjuaji sana mana kuna wajuaji kuliko ujuavyo.....Huku kuna ustaarabu so mambo ya umbea,kupost pumba,copy n paste bila ushahid utajuta
Aitseeee bitii msupaa uko bombaa ...itabid tufanye namna
Muongo hana alamaKhaa njoo huku pm tukuelekeze mwaya! achana na hao wanakudanganya
Nimecheka kwa sauti hadi mtoto ka amkaDuuh!!! Kweli huyu mgeni!!! Yani ww hapa umewarihisishia kazi polisi!!! Wakitaka kukutafuta wanakudaka kama kuku!!! NB;my real name is Uledi
Mama kazi unayo.....sasa watakuwa wanatumia picha yako kubetia.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ratiba za huku ni kwamba unapojiunga na JF kwa mara ya kwanza unatakiwa uweke picha yako hapa mkuu!......please weka picha yako hapa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe nimeshakutupa kule saa nyingi sana sasa hivi nipo na jje's huku pm!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ayaaaa!! Umejitahidi ila tatizo lako hujachana nywele![emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
next timee watch out mkuu...mtoto asije akaamkaNimecheka kwa sauti hadi mtoto ka amka