Mdomo bakuli JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 3,442 Reaction score 7,007 Oct 3, 2019 #2 Karina Sana mkuu ile elezea juu ya Jinsia yako Picha yako Umri wako Uko mji gani Kama ni wa koromije huku hapakufai.
Karina Sana mkuu ile elezea juu ya Jinsia yako Picha yako Umri wako Uko mji gani Kama ni wa koromije huku hapakufai.
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 10,576 Reaction score 16,644 Oct 3, 2019 #3 Kuna muswada wa sheria unajadiliwa sasa humu jf,ikibainika wewe ni wa siku njingi humu halafu unafungua ID mpya na kujifanya mgeni halafu hutaki ujulikaje,ukibainika ID zako zote mbili mpya na ya zamani zote zinapigwa ban,we shauri yako
Kuna muswada wa sheria unajadiliwa sasa humu jf,ikibainika wewe ni wa siku njingi humu halafu unafungua ID mpya na kujifanya mgeni halafu hutaki ujulikaje,ukibainika ID zako zote mbili mpya na ya zamani zote zinapigwa ban,we shauri yako
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Oct 4, 2019 #4 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Oct 4, 2019 #5 Karibu sana JF.