Kuna muswada wa sheria unajadiliwa sasa humu jf,ikibainika wewe ni wa siku njingi humu halafu unafungua ID mpya na kujifanya mgeni halafu hutaki ujulikaje,ukibainika ID zako zote mbili mpya na ya zamani zote zinapigwa ban,we shauri yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.