Wote wamepewa siku nyingi ila kwa mwanamke uwezo wa kuzaa ndio unapungua lakini maswala ya ndani ya 18 penati zinapigwa kama kawa. Ehe he he he...wanawake wamepewa siku chache za kuenjoy sex wakati wanaume wanaenda mpaka miaka 70......
Lakini si mnakumbuka wakati wa uumbaji wa binadamu wa kwanza Adam na Eva, nyoka alikuja kumdanganya Eva na kisha akala tunda alilokatazwa halafu akampa na mumewe Adam naye akala. Kilichotokea baada ya kila mmoja alipewa adhabu yake. Adam aliambiwa "utakula kwa jasho" ndio maana wanaume tunahangaika kutafuta chochote. Eva aliambiwa "utazaa kwa uchungu"
Wote wamepewa siku nyingi ila kwa mwanamke uwezo wa kuzaa ndio unapungua lakini maswala ya ndani ya 18 penati zinapigwa kama kawa. Ehe he he he...
wanawake wanabeba mimba na kuzaa kwa uchungu.....
wanawake wanakwenda hedhi kila mwezi sometimes inaambatana na maumivu makali....
ukitolewa bikira mwanamke inaambatana na maumivu makali wakati wanaume wanapeta tuu...lol
wanawake wamepewa siku chache za kuenjoy sex wakati wanaume wanaenda mpaka miaka 70......
mungu ameonyesha upendeleo kwa kiumbe mwanaume, kama dhambi ya asili tulishiriki wote kwa nini wanawake tu ndio tuadhibiwe kwa kuishi kitabu tabu tu?.....:A S 39::A S 39:
sikujua niiweke wapi hii😎😎

Ni kweli mkuu, lakini kwa nini ikawa hivi kwa hawa wenzetu?? kila kitu kwao ni uchungu wakati sie twafurahia!!! Kuzaa uchungu wkt wewe wafurahia kuitwa baba, MP matatizo, Bikra pia nayo!! :frusty:mi nadhani pengine ni kweli Mungu alikasirishwa sana na lile tendo walilofanya! Mimi huamini kuwa ktk kila jambo litokealo au lilotokea hapa duniani huwa na sababu yake!No comment...... mwacheni Mungu aitwe Mungu!
wanawake wanabeba mimba na kuzaa kwa uchungu.....
wanawake wanakwenda hedhi kila mwezi sometimes inaambatana na maumivu makali....
ukitolewa bikira mwanamke inaambatana na maumivu makali wakati wanaume wanapeta tuu...lol
wanawake wamepewa siku chache za kuenjoy sex wakati wanaume wanaenda mpaka miaka 70......
mungu ameonyesha upendeleo kwa kiumbe mwanaume, kama dhambi ya asili tulishiriki wote kwa nini wanawake tu ndio tuadhibiwe kwa kuishi kitabu tabu tu?.....:A S 39::A S 39:
sikujua niiweke wapi hii😎😎
Mmmmmh! si kweli mungu anatupenda sana tena sana.Tena namshukuru mungu kwa kunifanya mm mwanamke.Mungu zidi kuongeza wanawake wengi duniania.
Zambi ya Asili? kwa kosa gani mlilo lifanya?. Basi Mungu wako wa ajabu kwelekweli, kosa la wengine uazibiwe wewe. hakuna kitu zambi ya asili ni kutiana ujinga tu!, ulishiriki lini kuitenda zambi hiyo
Unaamini kweli mungu hawapendi wanawake au kufurahisha baraza?!
Maana nashangaa Mungu unae miamini ukampa Ila( weakness) ya kutipenda jinsia fulani.
Tukisema Mungu ni muadilifu na mwenye upendo kwa wote hawezi kuchukia wanawake...unless mwenzetu uwe a non believer na unataka upatiwe maelezo ya kwa niñi wadini wanasema mungu ni muadilifu
acha utani aisee, sisi wanaume azabu yetu tumepewa mission imposibo . kumridhisha mwanamke akarizika kimaisha ,kwangu mimi naita mission impossible.
Angekuwa na upendo kwa wote asingemuwekea mwanamke tabu zote hizi....
I am a believer but everytime i see my Monthly period......i wonder if GOD loves us women?why would he let us go through this helll?
i dont have kids myself,but from watching telly and listening to others....having a baby is the most painful thing on earth....why would god allow this,if he loved us at all?
the most weird thing is to listen to some women,who says despite all those misuko suko they enjoy being a woman,what do you enjoy in having a period?:A S-eek::A S-eek::A S-eek:😡😡:lie: