Askofu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2009
- 1,664
- 87
hehehehe!
hii sredi mbona siielewi elewi?
Huelewi nini sasa...
Hujapata mchicha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehehe!
hii sredi mbona siielewi elewi?
Nashukuru kulielewa hilo. Sasa ishi kwa upendo wa uanamke. Punguza uchoyo. Ngoja nikuPM.Namshukuru sana mungu kunifanya mwanamke nadhani ni upendo wa ajabu aliotufanyia ,Upendo huo unaongezeka zaidi pale aliposema tutazaa kwa uchungu ..ndio maana tuna mapenzi makubwa sana kwa watoto wetu hasa tukiufikiria huo uchungu wa ajabu
To god be the glory Amen.
I wish ungekuwa unasema ukweli. Manake kungekuwa na option ya kuchagua jinsia naona dunia hii tungekuwa midume mitupu. Ahsante Eee Mungu kwa kulijua hilo mapema. Ongeza wanawake kwa wingi ili mila ziendelee kudumishwa!Kwa kuwa ni mwanamke nimekuwa nikienziwa na kutukuzwa na mwanamme tokea nazaliwa hadi leo hii.
Sijawahi kujutia kuwa mwanamke maishani mwangu..................na ningelipewa choice ya kuchagua nizaliwe upya, ningesema nirudishe mwanamke vile vile.
Mmh!!!, hapo kwenye reds nadhani siyo bahati mbaya wala typing error,.. mara zote mbili?Mungu anawapendelea wanawake......
Kwa sababu sisi wanaume hata uwe vipi huwezi
kuishi bila mwanamke....
But wanawake mnaweza ishi wenyewe.......
Sisi we depends on you...more than you depends on us.....
btw Fab wewe unaepata a bit of monthly pain unasema mungu hakupendi, yule aliyezaliwa na ulemavu wa aina yoyote, au aliyepata magonjwa kama cancer au ukimwi asemeje?
Na yule aliyezaa mtoto wake akafa bado mchanga..................na wale wanaopoteza mali zao zote kwenye natural disasters jee?
Hakuna kitu kama hiyo kwamba Mungu hatupendi wanawake. We are blessed abundantly.whether maumivu wakati wa periods, when giving birth hizo ndo zinazokufanya mwanamke uwe unique from men. we have special features ambazo wanaume hata wafanyaje they can never have (ingawa na hizi plastic surgeries siku hizi kitu kinabadilishwa kinakuwa cha kike maziwa yanapachikwa basi karaha tu).
I love my montly periods i embrace all the pain i feel every month. i cant wait to get pregnant and give birth. i cant wait to be mother or called mummy. and i believe this world aint nothing without us. AM PROUD TO BE A WOMAN.
kwa hiyo Miss Thing Fab, stop whining and start feeling good that you are a woman. God created you for a special reason and not otherwise. Ukilalamika sana there will be repercussions from God Himself. Sijui umenipata????:A S tongue::A S tongue::A S tongue:
Kwa sababu hizi hapa chini.......Asprin unafikiri kwa nini wanawake wangetaka kuzaliwa madume?
mimi siwezi responsibilities za maisha .....................acha mwanamme ahangaike.
Kulisha familia yako na ya wazee wako sio kazi ndogo..................siiwezi mkuu. i can hardly feed my shoe addiction, ningelilazimika kulisha mke na watoto na mama na baba na dada( wakati mwengine) si ningewehuka!
no mkuu, bado hatujataka kuwa wanaume
wanawake wanabeba mimba na kuzaa kwa uchungu.....
wanawake wanakwenda hedhi kila mwezi sometimes inaambatana na maumivu makali....
ukitolewa bikira mwanamke inaambatana na maumivu makali wakati wanaume wanapeta tuu...lol
wanawake wamepewa siku chache za kuenjoy sex wakati wanaume wanaenda mpaka miaka 70......
mungu ameonyesha upendeleo kwa kiumbe mwanaume, kama dhambi ya asili tulishiriki wote kwa nini wanawake tu ndio tuadhibiwe kwa kuishi kitabu tabu tu?.... .:A S 39::A S 39:
sikujua niiweke wapi hii😎😎
Subiri zamu yako ifike. Utajuuuuuuuta kuwa mwanamke!BHT is proud of her being a woman mweh!!! naringia uanamke wangu!!!!
Subiri zamu yako ifike. Utajuuuuuuuta kuwa mwanamke!
Angalia location yangu. Am waiting with my pain killer!hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol!!!
eagerly waiting, maana mateso mengine nshayazoea kila mwezi lazima uwe na siku kadhaa za kisirani na ugomvi uso kichwa wala mkia lol!!! I love being a woman, i will say it over n over n over!!!
Angalia location yangu. Am waiting with my pain killer!
dah biggy location afu tena na hiyo signature duh!!!!
btw ward ipi hiyo? M'nyamala siji!! bora nitafute mkunga wa jadi nimalizie home!!!