Mie nahisi mungu hapendi wanawake......

washindwe na walegee ambao hawapendi kudumisha mila! Ee mungu waongeze hawa watu wawe wengi ili mila na desturi ziendelee kuenziwa.....

if our moms had not been tempted.......we would not be here!

:a s 39:
 
Kwa kuwa ni mwanamke nimekuwa nikienziwa na kutukuzwa na mwanamme tokea nazaliwa hadi leo hii.

Sijawahi kujutia kuwa mwanamke maishani mwangu..................na ningelipewa choice ya kuchagua nizaliwe upya, ningesema nirudishe mwanamke vile vile.
 
Nashukuru kulielewa hilo. Sasa ishi kwa upendo wa uanamke. Punguza uchoyo. Ngoja nikuPM.

Kwa kuwa ni mwanamke nimekuwa nikienziwa na kutukuzwa na mwanamme tokea nazaliwa hadi leo hii.

Sijawahi kujutia kuwa mwanamke maishani mwangu..................na ningelipewa choice ya kuchagua nizaliwe upya, ningesema nirudishe mwanamke vile vile.
I wish ungekuwa unasema ukweli. Manake kungekuwa na option ya kuchagua jinsia naona dunia hii tungekuwa midume mitupu. Ahsante Eee Mungu kwa kulijua hilo mapema. Ongeza wanawake kwa wingi ili mila ziendelee kudumishwa!
 
Asprin unafikiri kwa nini wanawake wangetaka kuzaliwa madume?


mimi siwezi responsibilities za maisha .....................acha mwanamme ahangaike.
Kulisha familia yako na ya wazee wako sio kazi ndogo..................siiwezi mkuu. i can hardly feed my shoe addiction, ningelilazimika kulisha mke na watoto na mama na baba na dada( wakati mwengine) si ningewehuka!

no mkuu, bado hatujataka kuwa wanaume
 
Mungu anawapendelea wanawake......
Kwa sababu sisi wanaume hata uwe vipi huwezi
kuishi bila mwanamke....
But wanawake mnaweza ishi wenyewe.......
Sisi we depends on you...more than you depends on us.....
Mmh!!!, hapo kwenye reds nadhani siyo bahati mbaya wala typing error,.. mara zote mbili?
 

Gaijin,
mbona hospital wote tunakwenda,ukiumwa mguu jino ama sikio?...unataka kusema mtu asiende hospital km anaumwa jino kisa kuna mtu wa cancer ama ukimwi ambaye anaumwa zaidi yake????...
maumivu yangu ya MP,yapo pale pale..despite the fact kuna wanaoumwa zaidi yangu!..na sielewi kwa nini mungu katupa hii kitu kila mwezi!
 

JS...
sijichukii kwa kuwa mie ni mwanamke...
i hate what i go through as a woman...
dont you think our quality of life was going to be better without all these MPS,childbirth etc..
Imagine unapeta bila kufikiria kubeba pads kwa mfuko,kama ni childbirth tunapokezana na wanaume na mwanamke unapata chance ya kupumzika! TUNGEPETA sana tuu...plus i dont know HOW should start to embrace all these TABU! ...mie ningependa kuvaa skirt ila sio ni-bleed kila mwezi,wala kuzaa hell to the NO!
 
FAB!

Hakuna watu mliopendelewa kama nyie! Hata orgasm mmewezeshwa kui fake lakini sie hatuwezi kufake................huoni kuwa nyie ndo mabingwa!
 
Duh.....Huyu Mungu unaemuamini Fab anachuki na wengi............wagonjwa wa cancer, watoto wao waliokufa uchangani, waliopoteza wazee wao bado vijana,.....and the list goes on and on.

btw Fab hivi kwani lazima uzae? .................ni right ambayo unaweza kutoitumia kama hupendi.
 
Wanawake wanaushawishi mkubwa kuliko wanaume-convincing capacity
Inaaminika wanawake wanaongoza dunia na sio wanaume- kwa upande wa wake wa maraisi. Wanaume wao huomba ushauri wa mambo ya kitaifa usiku wakati wa kulala. Kukitokea Vita anaokolewa mwanamke na mtoto mwanaume unaachwa ufe au upambane. Ikitokea ajali the same thing e.g ajali ya TITANIC waliokolewa kwanza wanawake na watoto. Kwenye biblia watoto wa kiume walikuwa wanauwawa HERODE-alitaka amuue Yesu katika huo mchakato NA FARAO wana waisraeli walikuwa wanaongezeka kwa kasi kubwa
 
Kwa sababu hizi hapa chini.......

 
BHT is proud of her being a woman mweh!!! naringia uanamke wangu!!!!
 
afu wee Fab si Eva ndo alimshawishi Adam kula tunda?? sasa ulitaka adhabu ifanane??
 
Subiri zamu yako ifike. Utajuuuuuuuta kuwa mwanamke!

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol!!!

eagerly waiting, maana mateso mengine nshayazoea kila mwezi lazima uwe na siku kadhaa za kisirani na ugomvi uso kichwa wala mkia lol!!! I love being a woman, i will say it over n over n over!!!
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lol!!!

eagerly waiting, maana mateso mengine nshayazoea kila mwezi lazima uwe na siku kadhaa za kisirani na ugomvi uso kichwa wala mkia lol!!! I love being a woman, i will say it over n over n over!!!
Angalia location yangu. Am waiting with my pain killer!
 
Angalia location yangu. Am waiting with my pain killer!

dah biggy location afu tena na hiyo signature duh!!!!

btw ward ipi hiyo? M'nyamala siji!! bora nitafute mkunga wa jadi nimalizie home!!!
 
dah biggy location afu tena na hiyo signature duh!!!!

btw ward ipi hiyo? M'nyamala siji!! bora nitafute mkunga wa jadi nimalizie home!!!

Hukio huko mwananyamala ndipo utakapojutia kuzaliwa demu...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…