Nilikua na mpenzi nani asiyemjua mtoto kaumbika utadhani malaika
Baada ya miezi kadhaa kupita mtoto wa kwanza kazaa!
Mtoto katoka mwarabu akasema kafanana na babu
Nikaamua kuuchuna
Mtoto wa pili kazaliwa
Kafanana na mchina mzee akasema wee hujui tu kafata kwa bibi naibiwa mzee naibiwa
Mwenzenu naosha vyombo
Mwenzenu napiga deki
Mzee mzima napika
Jamani nafungua nguo sio kama napenda Ila ananilazimisha
Mie nalala chini mke wangu kitandani nikilala kitandani kila mtu shuka lake nikilala kitandani ujue ni mzungu wa nne
nikimuuliza nini sababu anasema tumepeana likizo
Hii Sasa kali Jana kaniambia anataka aende club na marafiki Ila kaniambia nilinde nyumba wezi wasije Iba Covax
Etugrul Bey hii ni haki kweli
njoo unisaidie naonewa
👉Ungekuwa wewe ungefanyaje ?2006