Mie sikani, mauno ulinikatia na mchezo waujua!

Mie sikani, mauno ulinikatia na mchezo waujua!

sasa wewe ulidhani viuno vya bure bure?
halafu ulivyomfukuzia si ulimwambia unataka muwe wote maishani?
iweje umemtosa?

BADILI TABIA yabidi niwe mkweli ya kesho hatujawahi kuyagusia..........lol
 
Last edited by a moderator:
kCAUwcFykZ62bF6nrWezO6OFnyiBiAhjtvM0N6HWm1U6Kgk5ACVAq1MgfV5o88Zy5mnEAAAAASUVORK5CYII=
By King'asti

Ni ugonjwa flani, wewe mtu wa Mungu hauwezi kukupata achana nao
Aisee!

King'asti yaani huyu Bishanga naye ni mwokofu...hili nimelisikia leo.............
 
Last edited by a moderator:
Chizi kweli huyo! Yaani hamjajadili contract akakupa cha uvunguni? Some women...

King'asti ni vyema ukamwelewa yeye alifikiria mauno yake na kwa kuwa mchezo aujua basi alikuwa kafunga kazi kumbe mie nilidhani tunajifurahisha tu huku tukimwagiana misifa.......lol
 
Last edited by a moderator:
Duh! Mkuu mi mpitaji tu

debito hata mie ni mpita njia tu hadi yaliniponikuta................chunga yasije yakakuta na hicho kisingizio chako cha kuwa wewe ni mpitaji hakitafua dafu............
 
Last edited by a moderator:
basi na we mbaya ,kama kauonyesha wema, myenyekevu, na yote hukuyaona ,una mtoa ,apo sasa ,mh,,,

wahida mie sijamtoa ila mjuaji kampora vyake
 
Last edited by a moderator:
Ulimuaminisha sana kiunon kanogewa,
Si lazima kwa maneno hata vitendo vya changia,
Na inavyoonekana si mara moja umemuingia,
Ungesema kama umewahiwa malalamiko hayo yasingetokea.

HEART yeye na mie tuliridhika na leo hatukufikiria ya kesho mpaka mjuaji aliponitikisa.................kwa hiyo hakuwahiwa bali alichelea mwana kulia ikabidi alie yeye........
 
Last edited by a moderator:
Kaunga unafikiri leo nimekulegezea masharti lol.....................utii nao lazim auje na maelekezo ya kesho na kesho kutwa bila y ahayo ujue mambo yanaweza kwenda mrama..........................

Mtoto mtiifu huyo, alikuwa anasubiri maelekezo ya 'kesho' toka kwa mwanaMUME! Yaani masharti mwenyewe yanakuboa......huwezi admit tu!
 
Last edited by a moderator:
Dah. . .
Kwahiyo siku hizi wakaka wapita njia nao wanasifiwa na kupewa moyo, wadada waliodhani wanatengeneza kambi wanapondwa.
 
HEART yeye na mie tuliridhika na leo hatukufikiria ya kesho mpaka mjuaji aliponitikisa.................kwa hiyo hakuwahiwa bali alichelea mwana kulia ikabidi alie yeye........

Pamoja na hayo bado una ka-percent kakulaumiwa,kumbe ulikuwa unachezea buno lake bila kumtaarifu kama tayar una mwanamke wako... Sio wote wenye mawazo ya 'hit n run' ujue....
 
Last edited by a moderator:
Dah. . .
Kwahiyo siku hizi wakaka wapita njia nao wanasifiwa na kupewa moyo, wadada waliodhani wanatengeneza kambi wanapondwa.

Umeona eeh!
Akianza kuzungumzia 'kesho', Uzi ungekuwa na heading ifuatayo. "Hata nusu mwaka bado, anadai mkataba....."

Hawa viumbe si wakuwaendekeza; fuata moyo wako, akikupenda ataenda na mziki wako!
 
Umeona eeh!
Akianza kuzungumzia 'kesho', Uzi ungekuwa na heading ifuatayo. "Hata nusu mwaka bado, anadai mkataba....."

Hawa viumbe si wakuwaendekeza; fuata moyo wako, akikupenda ataenda na mziki wako!

Inashangaza kweli. . .
Eti alomtumia mwenzake anafagiliwa na huruma anaonewa ,dada wa watu ndio anaonekana mbaya. Kesho kutwa utasikia anaanzishiwa thread nyingine ya "anantumia mtoto"akitaka matumizi makubwa. Kisa, yeye ndo kageuka mtumiaji na hiyo HAIKUBALIKI kwa Ruta. . .yeye tu ndo anaeruhusiwa kutumia wenzie na akimaliza alalamike yeye. Some men. . . hasara tupu.
 
Kweli kiuno kitamu haswa ukimpata mtaalam wa kukikata ndio maana ndugu yangu anashindwa kusahau.
 
Back
Top Bottom