Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #21
sasa wewe ulidhani viuno vya bure bure?
halafu ulivyomfukuzia si ulimwambia unataka muwe wote maishani?
iweje umemtosa?
Chizi kweli huyo! Yaani hamjajadili contract akakupa cha uvunguni? Some women...
Ulimuaminisha sana kiunon kanogewa,
Si lazima kwa maneno hata vitendo vya changia,
Na inavyoonekana si mara moja umemuingia,
Ungesema kama umewahiwa malalamiko hayo yasingetokea.
Kaunga unafikiri leo nimekulegezea masharti lol.....................utii nao lazim auje na maelekezo ya kesho na kesho kutwa bila y ahayo ujue mambo yanaweza kwenda mrama..........................
HEART yeye na mie tuliridhika na leo hatukufikiria ya kesho mpaka mjuaji aliponitikisa.................kwa hiyo hakuwahiwa bali alichelea mwana kulia ikabidi alie yeye........
HEART yeye na mie tuliridhika na leo hatukufikiria ya kesho mpaka mjuaji aliponitikisa.................kwa hiyo hakuwahiwa bali alichelea mwana kulia ikabidi alie yeye........
Umekwepa swali langu la msingi, so u were seing two girls at the same time!
Dah. . .
Kwahiyo siku hizi wakaka wapita njia nao wanasifiwa na kupewa moyo, wadada waliodhani wanatengeneza kambi wanapondwa.
Ni ugonjwa flani, wewe mtu wa Mungu hauwezi kukupata achana nao
Umeona eeh!
Akianza kuzungumzia 'kesho', Uzi ungekuwa na heading ifuatayo. "Hata nusu mwaka bado, anadai mkataba....."
Hawa viumbe si wakuwaendekeza; fuata moyo wako, akikupenda ataenda na mziki wako!