Mie sikani, mauno ulinikatia na mchezo waujua!

Hizi medhali na Nahau kwenye hili shairi naona vinanizingua! Ngoja nimtafute Mzee mzima Mudhihiri wa Mudhihiri aweze kunifafanulia lugha hii nadhimu ya kiswahili! Lkn Big Up kwa huu msemo - Mie sikani mauno ulinikatia na mchezo waujua!
 
ruta, "mwana" nilimmaanisha huyo fundi wa mauno. Aliekupagawisha moyo wako ukiwa kwingne
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma Nimekuchukia gafla, na kuanzia leo usinitag mathread yako ya uonevu kiasi hiki. Kumbafu zako (msjiemkani-ban ninyi wakuu). Ila huu ni ukumbafu, ulitaka mtu aanze kuuliza ndoa hata hajui umebeba nini ndani yako. Moyoni na mwili yaniiiii...khaa wewe bwana wewe.......khaaaaa....Do not mention LD any more.
 
Ruta wewe ni hadaa, uliona wapi mwanamke anakukatikia mauno without expecting anything....be it pesa or love.
Na wewe hukuwa convinced beyond mauno au ulimuona changu fulani tu?
 

I can understand you, yaani kumplease mama's boy kama Ruta you have to be a devil himself! Yeye siku zote ni victim, makosa yote ni ya wanawake.
 
Heshima kwako mkuu,naomba kukuuliza hivi hizi methali huwa unatunga au unacopy kwenye vitabu,maana zimesimama ile mbaya,
Back to topic:
Unaweza ukasema ngoja nipite hapa ukajikuta umenasa,kwa hiyo asilaumiwe huyo mhanga wa mauno.
 

LD hata mie kaniboa sana. . .
Pole mwaya!!
 
Ahhhhgghh kaka!!! mpe chakula yake. huyu anaoneka ana jeraha, na kulingana na wasifu wake anaoneka utamjutia huyu. alas!
 
hapo ndipo nawaza, tumekutana PIN Point ama bilcanas
tukanywa vinywaji na kucheza pia na mauno tukapeana
Sasa walalama nini wakati hatukupeana tafsiri ya kesho?
 
Umekwepa swali langu la msingi, so u were seing two girls at the same time!

Kaunga, Kaunga...........you sound like my mother.........why are you like that?
majibu unayo...............huyu mpya alikuja baadaye tu na kumwaga sear zake bila ya kificho mie nikamkubalia kosa langu liko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Pamoja na hayo bado una ka-percent kakulaumiwa,kumbe ulikuwa unachezea buno lake bila kumtaarifu kama tayar una mwanamke wako... Sio wote wenye mawazo ya 'hit n run' ujue....

HEART bila ya makubaliano yanayoeleweka mie nilihisi hana mpango wa kudumu na mie......kwa hiyo nikaishia.........lawama yatoka wapi wakati alikuwa bubu na kesho yetu?
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeh!
Akianza kuzungumzia 'kesho', Uzi ungekuwa na heading ifuatayo. "Hata nusu mwaka bado, anadai mkataba....."

Hawa viumbe si wakuwaendekeza; fuata moyo wako, akikupenda ataenda na mziki wako!

Kaunga hayo sasa ni ya kwako......too speculative....that is what I see......
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwako mkuu,naomba kukuuliza hivi hizi methali huwa unatunga au unacopy kwenye vitabu,maana zimesimama ile mbaya,
Back to topic:
Unaweza ukasema ngoja nipite hapa ukajikuta umenasa,kwa hiyo asilaumiwe huyo mhanga wa mauno.

kichomiz haya yanafyatuka toka kichwani hata mie sijui chanzo chake...................tatizo la huyu wa kale ni kuwa yeye ndiye mwenye malalamiko mie sina malalmishi ila yabidi ajibiwe hapahapa aache ubishi na ukora........lol
 
Last edited by a moderator:

Bila kutarajia tukajikuta kitanda twalala sote.., tena bila Mbilinge... hahahahahaa.., I love this one..!🙂
Thanx Ruta..!
 
Mauno yana raha yake, ndio maana unayakumbuka.

Mbilimbili umenena hata mie siachi kumsifia lakini aache unoko kunisemea mbovu kila mahali
 
Last edited by a moderator:
Bila kutarajia tukajikuta kitanda twalala sote.., tena bila Mbilinge... hahahahahaa.., I love this one..!

Thanx Ruta..!

Weeeeeeeeeee Mbimbinho mie kwenye hiyo red nilisema mbinde sasa hii ya kwako mbona huo msamiati umenipita kando wamaanisha nini hiyo Mbilinge?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…