Mie sikani, mauno ulinikatia na mchezo waujua!

Nani huwa anamtumia mwenzie?
 
ruta, mjibu Ms Judith...unaonekana kumuonea huyo bibie kama vle jukumu la maandalizi ya kesho lilikuwa kwake pekee, kama vle hakuna ulchofaidi kwake, kama vile alikulazmisha kuwa hapo.
 
Last edited by a moderator:
Yeyote anayepokea mapenzi ya mwenzie na kumhadaa aongeze mautamu huku akijua fika hana muda nae.

Kipimo cha utamu ndiyo tatizo, unajuaje kama unyoongeza ni mazuri au mabaya.
Waweza jidai unaongeza kumbe ndiyo unapunguza kama sio kuharibu kabisa!.
Ukajikuta unakimbiwa.
 
hivi mnaongelea kiuno hiki hiki cha kuvalia suruali na sketi?

Mbona mnakipamba sana? Sijaona hiyo magic ya kiuno kiasi hiki.
 
Kipimo cha utamu ndiyo tatizo, unajuaje kama unyoongeza ni mazuri au mabaya.
Waweza jidai unaongeza kumbe ndiyo unapunguza kama sio kuharibu kabisa!.
Ukajikuta unakimbiwa.
Si huyo mtoa mada kafagilia mauno? Yasingekua mazuri asingesifia.
 
Mkuu Rutashubanyuma wewe toa elimu bana
Wanaokushutumu najua na wao kuna sehem unawagusa
na kama unagusa interest za watu ni lazima wawe wakali aise
We fanya kazi yako mkuu tena ukiw ana uwezo wa kufanya hayo

Mr Rocky nimekupata loud and clear...............
 
Last edited by a moderator:

lemonade tupo pamoja..............funzo hapo ni kuwa mawasiliano tuache kujivunga na kupashana khabari mara kwa mara ili kila mmoja ajue kulikoni?
 
Last edited by a moderator:

[MENTION]Miss Judith[/MENTION] mawasiliano yalikuwa mabovu panda mbili.......mie nilidhani ana mshikaji bora kuliko mie kumbe sikujua kuwa alikuwa kwangu kafika............nilipogundua .......it was too late to catch a departed plane.....mambo yalikuwa yameharibika sana...........

Naona kwenye hii tasnia ya tenzi za mahaba nawe wapangaji wamejaa vilivyo..........duh.........
 
Khaaa...riziki uliijua baada ya kummega mara za kutosha sio!??
Duh...

Mentor mbona hata yule mjuaji alimegwa tu na haikumwaribia lolote lile? Kwani matarajio yake niliyakubali tu!
 
Last edited by a moderator:
Nani huwa anamtumia mwenzie?

Kyaiyembe umechimbua mzizi wa fitina.......................kidume ndiye hutumiwa lakini wadada wajanja sana kwenye hilo huwa wanatugeuzia kibao kuwa wao ndiyo waathirika.......lol

Zege lote ummiminie tena huja na virutubisho vyake na mdada hana gharama yoyote ile na ambavyo akienda kwenye famasia vingelimgharimu mamilioni kuvinunua. Shukrani yake ni kuwa yeye ndiye mwathirika wajamani tuangalie hii khali kwa undani ukizingatia akivikosa afya yake yaweza kuzorota...........
 
Last edited by a moderator:
Kosa lako ni kuwa kwa nini ulitaka aseme yeye kuhusu "kesho yenu" na hukusema wewe mwanzo? Agalau kumwambia tu kuwa huu ni mchezo wa kupita. Inaonesha ulikaa kimya kusudi ili upate pa kutokea kwa kisingizio cha
"Hakuna ahadi niliyokupa au hata wewe kunipatia pia."

Kutokana na kauli hii...
Manung’uniko yako yamenifikia lakini mwenzio kakuwahi!
...inaonekana kama kwako wewe atakayekuja na dau kubwa la "kesho yenu" ndiye atakayeondoka na mali". Nina wasiwasi akija mwengine na ahadi nzuri kuliko huyu wa sasa, utaanzisha uzi
Kweli tuliahidiana, lakini mwenzio katoa ahadi nzuri zaidi!

Yote tisa, la kumi ni title ya huu uzi
Mie sikani mauno ulinikatia na mchezo waujua!
That's all what she did "kukata mauno na kujua mchezo?" Hakuwa na sifa nyengine? Ila yake ni kutokudai mkataba mapema tu? When she was supposed to ask for it, the first day, during the first buno?
 
ruta, mjibu Ms Judith...unaonekana kumuonea huyo bibie kama vle jukumu la maandalizi ya kesho lilikuwa kwake pekee, kama vle hakuna ulchofaidi kwake, kama vile alikulazmisha kuwa hapo.

[MENTION]Mapi [/MENTION]huyu [MENTION]Miss Judith[/MENTION] anajua namna ya kunishambulia na lazima aendewe kinamna siyo kwa papara....................hata hivyo keshajibiwa............ya kuwa mawasiliano ndiyo nguzo ya mahusiano pia...........
 
Yeyote anayepokea mapenzi ya mwenzie na kumhadaa aongeze mautamu huku akijua fika hana muda nae.

Lizzy hana muda naye kivipi na watu tumepeana penzi la nguvu kiasi hicho hadi mjuaji alipokuja kuchukua cha kwake bila ya huruma yaani tu.................
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ulimwambia (nakumpenda), sasa haumwambia tena neno hilo ndiyo utapeli wako!

Kyaiyembe.........si jana tu au leo tu au hata kesho mie nitaendelea kumpenda kwa moyo wangu wote ingwaje haiwezekani niwe naye tu........kwani kumpenda mtu lazima uwe naye?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…