Kosa lako ni kuwa kwa nini ulitaka aseme yeye kuhusu "kesho yenu" na hukusema wewe mwanzo? Agalau kumwambia tu kuwa huu ni mchezo wa kupita. Inaonesha ulikaa kimya kusudi ili upate pa kutokea kwa kisingizio cha "Hakuna ahadi niliyokupa au hata wewe kunipatia pia."
Kutokana na kauli hii... Manunguniko yako yamenifikia lakini mwenzio kakuwahi!
...inaonekana kama kwako wewe atakayekuja na dau kubwa la "kesho yenu" ndiye atakayeondoka na mali". Nina wasiwasi akija mwengine na ahadi nzuri kuliko huyu wa sasa, utaanzisha uzi Kweli tuliahidiana, lakini mwenzio katoa ahadi nzuri zaidi!
Yote tisa, la kumi ni title ya huu uzi Mie sikani mauno ulinikatia na mchezo waujua!
That's all what she did "kukata mauno na kujua mchezo?" Hakuwa na sifa nyengine? Ila yake ni kutokudai mkataba mapema tu? When she was supposed to ask for it, the first day, during the first buno?