Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #121
Kipimo cha utamu ndiyo tatizo, unajuaje kama unyoongeza ni mazuri au mabaya.
Waweza jidai unaongeza kumbe ndiyo unapunguza kama sio kuharibu kabisa!.
Ukajikuta unakimbiwa.
Funzo tumepata lakini come to think of it Rutashubanyuma pia the other party naye ana makosa.........ndio alikuwa anafaudu lakini while alivyokuwa anafaudu angempa angalizo mwenziye.........ingefaa pia kumkanya huyu mwanaumelemonade tupo pamoja..............funzo hapo ni kuwa mawasiliano tuache kujivunga na kupashana khabari mara kwa mara ili kila mmoja ajue kulikoni?
Si huyo mtoa mada kafagilia mauno? Yasingekua mazuri asingesifia.
Kosa lako ni kuwa kwa nini ulitaka aseme yeye kuhusu "kesho yenu" na hukusema wewe mwanzo? Agalau kumwambia tu kuwa huu ni mchezo wa kupita. Inaonesha ulikaa kimya kusudi ili upate pa kutokea kwa kisingizio cha "Hakuna ahadi niliyokupa au hata wewe kunipatia pia."
Kutokana na kauli hii... Manunguniko yako yamenifikia lakini mwenzio kakuwahi!
...inaonekana kama kwako wewe atakayekuja na dau kubwa la "kesho yenu" ndiye atakayeondoka na mali". Nina wasiwasi akija mwengine na ahadi nzuri kuliko huyu wa sasa, utaanzisha uzi Kweli tuliahidiana, lakini mwenzio katoa ahadi nzuri zaidi!
Yote tisa, la kumi ni title ya huu uzi Mie sikani mauno ulinikatia na mchezo waujua!
That's all what she did "kukata mauno na kujua mchezo?" Hakuwa na sifa nyengine? Ila yake ni kutokudai mkataba mapema tu? When she was supposed to ask for it, the first day, during the first buno?
Funzo tumepata lakini come to think of it Rutashubanyuma pia the other party naye ana makosa.........ndio alikuwa anafaudu lakini while alivyokuwa anafaudu angempa angalizo mwenziye.........ingefaa pia kumkanya huyu mwanaume
Mauno ndo nini jamani?
BAK you mean thishahahahaha LOL! Yaani mtu wa magharibi ya Tanzania asijue mauno!?....mauno ndiyo mauno bana LOL!
Weeeeeeeeeee Mbimbinho mie kwenye hiyo red nilisema mbinde sasa hii ya kwako mbona huo msamiati umenipita kando wamaanisha nini hiyo Mbilinge?
Hahahahahaaa, Mkuu Rutashubanyuma, mbilinge na mbinde ni synonims asee kama hujui...
You will never know with men kwa kweli! Humu Jf hua naona some men wanasema hawapendi wanawake wenye kuuliza mustakabali wa mahusiano toka mwanzo(time will tell)
am confused!
You will never know with men kwa kweli! Humu Jf hua naona some men wanasema hawapendi wanawake wenye kuuliza mustakabali wa mahusiano toka mwanzo(time will tell)
am confused!