Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
zmefungwa GISHa haaa, kufika pale naulizia bei za chupi naambiwa chupi moja inauzwa sh elfu sitini! Whaat?
Nikauliza kwani hii ya elfu sitini ina tofauti gani na ile ya sh elfu tano niliyozoea kununua pale Mwenge? Hawakunipa jibu!
Eti wadau zile kyupi za pale zimeshonewa na vitaa taa vya L.E.D? Mbona zinauzwa bei vile?
He heee!Zile zina memory card na zinapiga mziki
Moja. Yani one unit kwa lugha ya Kizungu. Nenda kajionee mwenyewe...Mhhhhhh hatari hiyo....
Na kuna watu wananunua kawaida tu kama wametoa 6,000.
Lakini ni underwear 1 au dozen mkuu?
Zina choo humohumo nunua tuHa haaa, kufika pale naulizia bei za chupi naambiwa chupi moja inauzwa sh elfu sitini! Whaat?
Nikauliza kwani hii ya elfu sitini ina tofauti gani na ile ya sh elfu tano niliyozoea kununua pale Mwenge? Hawakunipa jibu!
Eti wadau zile kyupi za pale zimeshonewa na vitaa taa vya L.E.D? Mbona zinauzwa bei vile?
Labda kweli,hata bra zake ni ghali pia.Labda ni Victoria Secret. Ilikuwa brand gani ?
Ha haaa, kufika pale naulizia bei za chupi naambiwa chupi moja inauzwa sh elfu sitini! Whaat?
Nikauliza kwani hii ya elfu sitini ina tofauti gani na ile ya sh elfu tano niliyozoea kununua pale Mwenge? Hawakunipa jibu!
Eti wadau zile kyupi za pale zimeshonewa na vitaa taa vya L.E.D? Mbona zinauzwa bei vile?
Ni pm mimi najitolea kwenda kukununulia. SeriousHa haaa, kufika pale naulizia bei za chupi naambiwa chupi moja inauzwa sh elfu sitini! Whaat?
Nikauliza kwani hii ya elfu sitini ina tofauti gani na ile ya sh elfu tano niliyozoea kununua pale Mwenge? Hawakunipa jibu!
Eti wadau zile kyupi za pale zimeshonewa na vitaa taa vya L.E.D? Mbona zinauzwa bei vile?
Account 17 mchezo?Usishangae wanaolipwa mil 40 ni ishu ndogo hiyo