Mie wa shopping za Mwenge nikajipeleka Msasani shopping Mall...

Mie wa shopping za Mwenge nikajipeleka Msasani shopping Mall...

Sasa unafikiri magufuli anaposema watu wanaishi kama malaika anajua na inauma sana kwani pato la watu hawa si halali na wengi ni watumiaji tu hata hawawekezi wakaajiri maskini
ina uma sana mkuu mi naona bora hata mungu alivo tu shushia huyu makufuli maana yeye mwenyewe ana lipwa mil9 kama rais wewe uliepata iko kikazi chako cha ujanja ujanja una lipwa mshara milioni 40 kwa mwezi. ..... maisha sio hayo eti nilishanga sana mtumishi wa umaa kulipwa izo milioni 40
 
Hapana bhana... Hapo hapo nilinunua soksi pea mbili, boxer mbili na vest mbili kwa laki1. Chupi inawezaje peke yake ikawa elfu60?
He he he! Wewe uliuziwa zile za on sale au zile zimeandikwa 'Priced to go'... Zile ambazo unapewa discount hadi 75%!
 
Zina choo humohumo nunua tu
We subiri kwa mwendo huu wa Magufuri watafunga tu hayo maduka maana hawatapata hao wateja, Hela za kifisadi zote kazizibiti! chezea Magufuri wewe mbona wataisoma namba sio muda![emoji3]
 
Back
Top Bottom