Justin Dimee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,146
- 248
ina uma sana mkuu mi naona bora hata mungu alivo tu shushia huyu makufuli maana yeye mwenyewe ana lipwa mil9 kama rais wewe uliepata iko kikazi chako cha ujanja ujanja una lipwa mshara milioni 40 kwa mwezi. ..... maisha sio hayo eti nilishanga sana mtumishi wa umaa kulipwa izo milioni 40Sasa unafikiri magufuli anaposema watu wanaishi kama malaika anajua na inauma sana kwani pato la watu hawa si halali na wengi ni watumiaji tu hata hawawekezi wakaajiri maskini